Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hivi kumbe kutakua na makutano? Tutakuja tumevaa mask [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani nitamani kukutana vibibi robot?
Hapana bwashee, kwa taarifa yako jf hakunaga wanawake kama huamini njoo Ijumaa kwenye hafla ya kuzawadia washindi wa story of Change utakutana na wajuba tupo dadeki [emoji23]