Duh nilimfwata mmoja alinijoboa wk mbili nilikuwa nafikilia majibu yake tu nilikosa raha kabisa mimi na PM naziogopa mnoHahahahahah poleee jitahidi na viroja
Tunguli zime expire siku hizi, sijui anakwama wapi huyu mzee Msata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahahaha unachochea
EeehHahahahahahaha aiseeee
nataka ya kwakoWeekend ndo imeanza hivyo.
Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe.
Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo usiseme kabisa.
Mimi nataman kumiliki PM ya HUMBLE Africani na BAK pamoja na kritika.
Nataka nikaone viroja kwenye PM zao.
Uzuri fedhea yote inaishia huko hukoHahahahhah ndo viroja vyenyewe
MP..?!mdomo wangu umebaki wazii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa yeyote mwenye anataka kukufa kwa jakamoyo, ebu akuje nimpee nywila ya MP yangu.... tehteehhh