Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zako hauzipendi?Sawa
Ngoja nikalale ili niwaone ndotoniUtahadithia mwenyewe baada ya kutokea na misukuleee
Naww unaye yake??? .Mbn mm ya kwangu anayo Mganga
tubadilishane baby wanguAmbaye anataka kumiliki PM yangu aseme nimpe nywila.
Mimi napenda niimiliki kwa yule ninayempenda(mbebezi wangu)
Nakutumia inbox kipenzi changu.tubadilishane baby wangu
Ni KE?King'asti
salamu zimefika luvWifi yangu huyo akija msalimie sana
siamini amini hapa unajuaMoneytalk pita huku
KhaaaaTobaaaaaaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]nishapigwa [emoji777][emoji777][emoji777]kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tunguli zime expire siku hizi, sijui anakwama wapi huyu mzee Msata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa unataka kunipima imani eehNgoja nikampm na id yangu ya kiumeeee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahahaha wewe mbebezi wako ulifanyaje pm
hahahahaaaaa, baby wangu banaHahahaaa unataka kunipima imani eeh
Mmh makubwa haya,naombeni tu muwe wawaziHahahah sasa subiri mm tutaanzisha kula ndimu na udongooo
Hahahahahahaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]