Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Ndo maana nakucheki tu
 
Weekend ndo imeanza hivyo.
Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe.
Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo usiseme kabisa.

Mimi nataman kumiliki PM ya HUMBLE Africani na BAK pamoja na kritika.


Nataka nikaone viroja kwenye PM zao.
Demiss mimi natamani nimiliki PM yako kabisa hata kuanzia leo hii
 
Back
Top Bottom