Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu yake shunie nimecheka mpaka nimekojoa hapo nililewa yaani nikilewa nashusha ung'eng'e kama nimezaliwa kwa trump niache babu
Haya mambo ya kwamba nikuache yanaanzia tena?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu yake shunie nimecheka mpaka nimekojoa hapo nililewa yaani nikilewa nashusha ung'eng'e kama nimezaliwa kwa trump niache babu
Halafu Ulikojoa mkojo upi mjukuu wangu?
 
Back
Top Bottom