Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Naona watu wengi wanataja majina tu,mmefanya juhudi kuwaona mnaotamani kuwaona?
 
a
Lakini I wish kama kungefanyika mjumuiko wa wana jf wote na kupata msosi pamoja, lakini hilo ni ndoto maake tuko wengi sana
hahahahahahaah nimewaza tu,cku mtakayo jumuika pamoja kupata huo msosi walahi mtapigwa njiti na kibiriti ama sivyo mto ruvu utawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…