Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
BASI kuanzia leo taraka ya kwanza nakupa ukiendelea tu ya pili itafuata ACHA KUPENDA PESAHuo mtihani wa kupunguza kupenda pesa siwezi ufaulu aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BASI kuanzia leo taraka ya kwanza nakupa ukiendelea tu ya pili itafuata ACHA KUPENDA PESAHuo mtihani wa kupunguza kupenda pesa siwezi ufaulu aise
We toa hata ya3 ila pesa siachi kupenda ng'odoBASI kuanzia leo taraka ya kwanza nakupa ukiendelea tu ya pili itafuata ACHA KUPENDA PESA
Eti umesema!!!!????ipo 1000 nauli ya daladala itakutosha njoo tu
Sasa unaacha kupenda pesa upende nini!!!We toa hata ya3 ila pesa siachi kupenda ng'odo
Si ndo apo sasa. Kitu muhimu namna hiyo naanzaje kuipotezea kwa mfanoSasa unaacha kupenda pesa upende nini!!!
anipende mimi pesa pembeni love kwanzaSasa unaacha kupenda pesa upende nini!!!
atoto anakupoteza huyo usimsikilize yeye nakutana nae hata 100 huwa simpi yeye bingwa wa kutuhonga wanaume leo kaniahidi simba 4Si ndo apo sasa. Kitu muhimu namna hiyo naanzaje kuipotezea kwa mfano
jpm saiviEti umesema!!!!????
Akupende kwani wewe pesa?anipende mimi pesa pembeni love kwanza
Mie hanihusu.jpm saivi
Mhhhhh unakuja nipo kukusubiriMie hanihusu.
pesa ilimuua Yudaaaa acha kuipendaAkupende kwani wewe pesa?
Kweli uko serious, huu mwaka wa pili sasa.
Ngoja nikufikirie...ipo siku nitakufanyia surprise.
haa aa sikuwa nimeiona hii...Heaven on earth ...Njoo nikuone.