danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,524
Miss natafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifika ila sikukuona[emoji24] [emoji24]Mhhhhh unakuja nipo kukusubiri
Sasa nisipopenda pesa nitapenda nini?pesa ilimuua Yudaaaa acha kuipenda
Njoo nikuone.Naona watu wengi wanataja majina tu,mmefanya juhudi kuwaona mnaotamani kuwaona?
Nakuja,nitakutafuta usikimbie tu.Njoo nikuone.
Huyo mtafute makaburini mida ya saa 8-9 usikumshana jr
Long time aise
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni zaidi ya uchokozi.Bibie Lizaboni.
hahahahahahaah nimewaza tu,cku mtakayo jumuika pamoja kupata huo msosi walahi mtapigwa njiti na kibiriti ama sivyo mto ruvu utawahusuLakini I wish kama kungefanyika mjumuiko wa wana jf wote na kupata msosi pamoja, lakini hilo ni ndoto maake tuko wengi sana