Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
Mshana alishaweka picha zake humu na anakopatikana wewe TuMshana Jr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana alishaweka picha zake humu na anakopatikana wewe TuMshana Jr
Mi nahis huyu nmemwona Heaven Sent,,nahis nahis nahis
Asante ndugu. Ipo siku utaniona.
.
.
Niliambiwa unanitafuta. Njoo pande za kuleee!
Mimi najulikana sana na nafahamika sana nadhani siku mkinijua hamtaaminiYeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.
Mi natamani sana kumwona valentina na ma mndeny na rubii na chirika mtabariYeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.
Mkuu huogopi
Hapo mkuu inabidi uwashe udi kwanza ujifuluzie kabla ya yoteMziziMkavu @mshanajr @generalgaladudu FaizaFoxy
Jamaniiii....acha banaaIla ww mwanamke sijui kwann umenikaa hivi ila enewei ndio moyo ushaamua.
Jamaniiii....acha banaa
Hujanitibua bhana. Kupendwa raha!Basi nisamehe naona nishaanza kukutibua..
Sorry!!
Hujanitibua bhana. Kupendwa raha!
Wewe nakuogopa maana nahisi ndo wale wa kugonga na kusepa. Teh tehKumpenda Demi ni raha zaidi..
Ur so sweet D Mungu akujalie maisha marefu D wangu (Sorry maana hujawa wangu)
Wewe nakuogopa maana nahisi ndo wale wa kugonga na kusepa. Teh teh
Hapo mkuu inabidi uwashe udi kwanza ujifuluzie kabla ya yote
Haya mydear..Nashindwa nijieleze vp maana nahisi hutaniamini, hebu mtafute Nyagei umuulize Mond yupo vp ndio rafiki yangu mkubwa hapa Jf..
Mpaka leo naenda funga miaka miwili sina mahusiano na mwanamke ....hii sio sehem yake sahihi kuongea
I need youHaya mydear..