Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Yeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.
Mimi najulikana sana na nafahamika sana nadhani siku mkinijua hamtaamini
 
Yeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.
Mi natamani sana kumwona valentina na ma mndeny na rubii na chirika mtabari
 
clueless please!

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Kumpenda Demi ni raha zaidi..
Ur so sweet D Mungu akujalie maisha marefu D wangu (Sorry maana hujawa wangu)
Wewe nakuogopa maana nahisi ndo wale wa kugonga na kusepa. Teh teh
 
Nashindwa nijieleze vp maana nahisi hutaniamini, hebu mtafute Nyagei umuulize Mond yupo vp ndio rafiki yangu mkubwa hapa Jf..
Mpaka leo naenda funga miaka miwili sina mahusiano na mwanamke ....hii sio sehem yake sahihi kuongea

Haya mydear..
 
Back
Top Bottom