Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Brigedia mafia sidhani kama ndo hance mtanashati nikiangalia mwandiko wao na misimamo yao ni tofauti kabisa.
*muda wa ban ukiisha unaachiwa huru uingie uraiani, namkubali sana hance mtanashati kwenye jukwaa la celebrities namfananisha na Iceman 3D
HAHAA dah!! Endelea kumsubiria Shekhe wangu atarudi !! ila nimesha kupa ukweli wenyewe
 
Basi bwana baada ya Donard Turampu kushinda ndugu mshana jr ameanza kuonekana.sijui ametoka kumpa urais huyo turampu maana simuelewi kbs!!!![emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hiii kali
 
Sitaki disappointement ninaowafahamu wanatosha mwishowe nitakutana na informer wa lumumba nipelekwe mabwe bure. Sitaki nasema sitaki JF imejaa wanafiki nimegundua kupitia sources mbli mbali wengi humu mashushu
tehe tehe tehe tehe
 
Back
Top Bottom