Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

kuna wakaka kama wawili hivi kama sio watatu natamani ningeona hata picha zao ili niweze kulinganisha na madudu wanayoandikaga humu, kama vinaendana
 
Hivi inatosha ili tuendelee kutupia MAWE gizani
 
Wanaozumgumzia maisha na matatizo ya Waafrika na bara letu, Sudan ya Kusini, Burundi, Somalia, Ethiopia, Afrika ya Kati.

Tuzungumzia mambo ya afya na uchumi wa Afrika.

JF mkomboe Mwafrika kwenye ujinga na Umasikini.

JF tangaza, shamirisha "Ubinaadamu" kwanza.
 
Back
Top Bottom