mbege ya moto
mie nilitamani fish and chips,nimeenda kununua,baada ya kula nasikia guilty na huu mwili wangu sijui naelekea wapi...
mie nilitamani fish and chips,nimeenda kununua,baada ya kula nasikia guilty na huu mwili wangu sijui naelekea wapi...
Teh Teh Teh...haya banaa na mimi usinisahau kwenye vitumbuavitumbua wajua kuandaa???
Mbege ya moto unakunywaje bwashe? Kwanza unaipasha au inakuaje maana najua wakati wanakamua hua imepoa.
@ D. . .unataka anihonge leo alafu siku akininyang'anya nirudi kupigwa vikumbo kwenye daladala alafu?Bora niendelee hivi hivi.
mie nilitamani fish and chips,nimeenda kununua,baada ya kula nasikia guilty na huu mwili wangu sijui naelekea wapi...
vitumbua wajua kuandaa???
Natamani dengerua...lol
Mama muuza Kongosho kaenda kwa Boss kwahiyo weekend yote hii imekula kwetu aisee...yule mama muuza wa Klorokwin nasikia Kloro kamuweka ndani siku si nyingi atatangaza ndoaMmmh sijawahi jaribu hiyo.
@Fynest kwani mama muuza hua anafunga?Ni kiasi cha kumgongea tu.
Niliuliza siku moja nikaambiwa iko kwenye form kama vile ya Konyagi sasa sijui ni kwelihivi dengerua ni wine au beer?
mi najua gongo ni whisky
mnazi ni wine
mbege ni beer...
sijui dengerua ni nini??????
Mama muuza Kongosho kaenda kwa Boss kwahiyo weekend yote hii imekula kwetu aisee...yule mama muuza wa Klorokwin nasikia Kloro kamuweka ndani siku si nyingi atatangaza ndoa
Chukua Ice Cubes weka kwenye macho...lolNatamani kuendelea kucheki hii mechi Ya real na Barca lakini Usingizi umenishika ile mbaya