Unatamani nini. . . ?

Unatamani nini. . . ?

Hali ya hewa ilikuaje RR? Rainy?Sunny?Hot?Cool?
Au ndo mambo ya kumkumbuka shemeji?

unatamani hali ya hewa, tent au nini sasa na wewe Roulette
It was night time, saa kama hizi (usiku sana) ans it was drizzling... and yes nilikua tent na shemeji yenu, tuna furahia eachother's presence.
@Sokwe: sasa nitatamani tent ili iweje?
 
Unatamani nini sasa hivi?
Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . . arrrrrg.

nikikwambia ninachotamani unacho hapo ulipo utanipa?
 
Back
Top Bottom