Unatamani nini. . . ?

Gongo langu linakunywa sukari si mchezo, kwa hiyo nikigawa hata punje itakula pande yangu

nasikia we unayo naomba ungeweza unipe
kama una akiba ya hiyo sukari kabla hujalala
 
Hali ya hewa ilikuaje RR? Rainy?Sunny?Hot?Cool?
Au ndo mambo ya kumkumbuka shemeji?

unatamani hali ya hewa, tent au nini sasa na wewe Roulette
It was night time, saa kama hizi (usiku sana) ans it was drizzling... and yes nilikua tent na shemeji yenu, tuna furahia eachother's presence.
@Sokwe: sasa nitatamani tent ili iweje?
 
Unatamani nini sasa hivi?
Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . . arrrrrg.

nikikwambia ninachotamani unacho hapo ulipo utanipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…