Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya Serengeti. Tegemea ushauri wa kitaalamu kutoka kwa muongoza watalii mwenye uzoefu wea miaka 14 aliyeongoza watalii zaidi ya 4,700 kutoka kote ulimwenguni.
Make your honeymoon a lifetime experience in the wild plains of Serengeti. Kuna utaratibu wa fly-in-fly-out kama unatoka mikoa ya mbali ambapo utaruka kwa ndege mojakwa moja mpaka Serengeti na kurudi nyumbani kwa ndege kwa gharama nafuu.
Ikiwa unatoka mikoa iliyo karibu na hifadhi ya Serengeti unaweza pia kutumia magari yetu ya utalii (safari jeeps). Chaguo ni lako. Kwa mawasilino piga simu au tuma ujumbe kwenda 0711907133, 0768734611, Whatsapp 0786817145