Unatarajia kumpa nini mpenzi wako Januari hii?

Unatarajia kumpa nini mpenzi wako Januari hii?

Nyafwili

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
4,240
Reaction score
10,561
Tayari January imefika, Unampa nini rafiki yako wa kike/kiume, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini? Ni pesa taslimu au zawadi?

images (10).jpeg
images (11).jpeg
 
Back
Top Bottom