Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆 ngoja ntaangaliaMpe kwanza hii kabla hauja muacha
View attachment 2855369
Sitaki nae Mchezo na anavyopenda watoto sasa acha tufyatue tuu!!😀, mwezi wa kumi kutakua na vijukuu wengi sana.
ntampa mimbaTayari January inakaribia, Unampa nini rafiki yako wa kike, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini.? Ni pesa taslimu au zawadi.?
View attachment 2855298View attachment 2855300
Umesema rafiki wa kike, mimi nina wa kiume sasa.Mbona unajitenga mkuu, huu uzi ni wote,