Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apihe cha mwaka mpya😂👐Labda anataka atafune tafune kwanza 😀
Kuna zawadi inayozidi gegedo?Zawadi ni muhimu mkuu
Sitaraji chochote ni muda wa kukimbiza malengo tena ya msingi pekee 🤪Tayari January inakaribia, Unampa nini rafiki yako wa kike, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini.? Ni pesa taslimu au zawadi.?
View attachment 2855298View attachment 2855300
Usijali Mkuu, nitafanya hivyoSafi sana mkuu, usisahau na kumununulia na ka flat Tv,
Mungu anisaidie 🙏🙏🙏Sawa mkuu,