Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu tukiachana mseme mlikuwa mnatuvalisha na kutupendezeshaZawadi ni zile zile, viboksa na engachifu
Hapana mkuu๐, uwanja wa sms, umejama maombi ya zawadi nini?
Nitaongeza mkoba mdogo mweusi mkuu. Saa ni gharama kiasi mwisho wa mwaka mambo mengi. AsanteKongole sana mkuu, shemeji atafurai sana, Muongezee saa pamoja na kamkoba fulani hivi, ๐
Hahaha............kumbe unakumbuka ๐Mwenyezi Mungu ni mwema mkuu ๐, itakua hivyo, ili mda wa togwa ukifika tusihangaike sehem ya kukaa๐
Hahaha............umefanya sahihi kunikumbusha, maana umri huu nimeshaanza kusahau Babu yenu ๐Brain yangu bado ina Gb za kutosha ๐
Si ndio๐Alafu tukiachana mseme mlikuwa mnatuvalisha na kutupendezesha
Mwaka 2024 tunataka mtoe vitu serious kidogo hizo zawadi za wanafunzi hapanaZawadi ni zile zile, viboksa na engachifu
Sitaki apate shida, mwache ale zake udongo na maembe kwa amani๐๐, utamuua na pressure mkuu, subiri ashushe mzigo kwanza.
Dawa ya wasiojitambua๐คฃMimba tayari bado kumtaftia wake wenza tu ๐
Tunawapa mioyo yetu, mnataka nini tena au roho zetu?Mwaka 2024 tunataka mtoe vitu serious kidogo hizo zawadi za wanafunzi hapana
๐๐๐๐๐ roho zenu itapendeza zaidiTunawapa mioyo yetu, mnataka nini tena au roho zetu?
Ila nyie ๐Si ndio๐