Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja
Tupo kwenye tatizo lililoanzishwa na CCM kupitia bunge linaloitwa kikoakotoo...naamini hapa patakuwa na siasa siku ya mei mosi.
Kupandisha mishahara kwa uchumi wa sasa hapa, hatuna fedha za kulipa ongezeko la mishahara. Labda kupandisha madaraja au kupandisha vyeo
Cha zaidi kuepusha mambo yasiwe mengi tutegemee wale walio mtaani kuahidiwa kuajiriwa.....tutasikia zaidi watoto wetu wakipewa ahadi ya ajira na kwa kuwa sisi wazazi tunaamini ajira ni hisani tutashangilia.
Tuwe macho na kufungua miyoyo kwa lolote la ulaghai tutakaloambiwa...tumezoea.