Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #61
Mwehu weweeee,,,,,sura nzito kama uji wa muhogo,libholo lyako lisookuuu
Lisoku ginehe aneyo ulitogilwe?😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwehu weweeee,,,,,sura nzito kama uji wa muhogo,libholo lyako lisookuuu
Lisokuuu shiii,toje vijimark hambo, tokalye mashilewaLisoku ginehe aneyo ulitogilwe?😀😀😀😀
Lisoku ginehe aneyo ulitogilwe?😀😀😀😀
Mkalale sasaLisokuuu shiii,toje vijimark hambo, tokalye mashilewa
Halaf obhebhe ole kasokuuu chu!!
Haya mke mwenza,nawe ulale sasaMkalale sasa
Mke mwenza tenaHaya mke mwenza,nawe ulale sasa
Haya mke mwenza,nawe ulale sasa
Umenifundisha weweHivi wewe kwa nini uko mchokozi hivo lakini?
Umenifundisha wewe
Manyanya mabichi weweeeJigooooo
Hiyo like yangu nakuja kuihamisha, ngoja nisome comment ya supermarket kwanza narudiHamna ujue saa nyingine una mpa mtu like baadaye uki fikiria sana ulicho mpia like hukioni yana kuja maamuzi una tengua utoaji wa like yako .
Kuna mtu nilimpa like alipiga bonge ya point akaja mwingine aka mpinga kwa facts , aah ikabidi nitengue utoaji wa like na nika mpa huyu mwingine. mambo hutokea hayo
Naja kuichukua like yangu, ngoja nilinganishe comment yako na ya Iceman 3DNyani ngabu wewe hutoagi like, nini tatizo mkuu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiyo like yangu nakuja kuihamisha, ngoja nisome comment ya supermarket kwanza narudi
We ngoja niichukue ndo utajua[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi kweli like yangu ni ya kulinganisha na ya supermarket!!?
Lakin supermarket hajaongea point ya kutisha saana kias uninyang'anye.We ngoja niichukue ndo utajua
Mie ndo ninalinganisha au wewe, usijali sana naweza nikakufikiriaLakin supermarket hajaongea point ya kutisha saana kias uninyang'anye.
Bado nastahili like
Natafuta alietoa point zaidi ya hii yako, nikiikuta narudi kuchukua like yangu.Hamna ujue saa nyingine una mpa mtu like baadaye uki fikiria sana ulicho mpia like hukioni yana kuja maamuzi una tengua utoaji wa like yako .
Kuna mtu nilimpa like alipiga bonge ya point akaja mwingine aka mpinga kwa facts , aah ikabidi nitengue utoaji wa like na nika mpa huyu mwingine. mambo hutokea hayo
Hebu nigongee namie basi...Natafuta alietoa point zaidi ya hii yako, nikiikuta narudi kuchukua like yangu.
Thubutuuu!Hebu nigongee namie basi...