Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ole wake mtu achukue like yake, patachimbika bila jembe humu
Hiyo like yangu nakuja kuihamisha, ngoja nisome comment ya supermarket kwanza narudi

Naja kuichukua like yangu, ngoja nilinganishe comment yako na ya Iceman 3D

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi kweli like yangu ni ya kulinganisha na ya supermarket!!?

We ngoja niichukue ndo utajua

Lakin supermarket hajaongea point ya kutisha saana kias uninyang'anye.
Bado nastahili like
-Sakayo kazia humo humo, mpokonye like zako fasta bila kumuangalia usoni atatia huruma huyu Iceman 3D
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ole wake mtu achukue like yake, patachimbika bila jembe humu

-Sakayo kazia humo humo, mpokonye like zako fasta bila kumuangalia usoni atatia huruma huyu Iceman 3D
Sasa wewe ni mchochezi, ningempokonya ila naona mnachuana kulee kwenye mapoint.
Najua akipata tuzo na mie nimepata
 
Ndugu yangu we leo wa kunifanyia hivo!!! [emoji28]
Kweli rafiki wa kweli Mungu.
 
Sasa wewe ni mchochezi, ningempokonya ila naona mnachuana kulee kwenye mapoint.
Najua akipata tuzo na mie nimepata
Usimpokonye tena LIKE huyo jamaa safi sana, kwenye tunzo kura zangu nitamuongezea yeye ili apate kuwa mshindi. Najua akipata tunzo mimi na wewe pia tutapata
 
Usimpokonye tena LIKE huyo jamaa safi sana, kwenye tunzo kura zangu nitamuongezea yeye ili apate kuwa mshindi. Najua akipata tunzo mimi na wewe pia tutapata
Hapo ndo umekuwa mzalendo, Una uhakika hutaumia kweli
 
Likes zinamtoa MTU povu!
MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO MY LOVE IS BANK ALERT!
 
Hapana siwezi kuumia mkuu, Iceman 3D ni best friend, kura zangu namuongezea yeye apate kuwa mshindi.

-hatusemi kufuru, tunasema tumevunja rekodi kwa points nyingi
Na kweli zitakuwa nyingi, sasa mpaka Iceman 3D akubalii h
 
Back
Top Bottom