Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

Law's of magnet____ "Like dislikes like"
No nimekosea, Like poles repel each other and unlike poles attracts each other" Sijui nimepatia
 
Hiyo like yangu nakuja kuihamisha, ngoja nisome comment ya supermarket kwanza narudi
 
Enzi hizo ni Junior JF niliwahi kupata like ya Invisible, sikumbuki hata topic ilikuwa nini ila nilifurahi sana.

Baada ya kukaa sana JF nikaja kujua kuna likes zingine ni za kujuana, za kutongozana, za kulipa fadhila, kwamba ame-like na mimi na-like etc

Nyani Ngabu kuna ile unaikubali post ya mtu na ku-like kwa sababu ya kukubali alichoandika mdau, then baada ya kupitia posts tofauti unakuja kupata uelewa mpya na kuona kwamba ile post uliyo-like siyo; ndo hapo inabidi urudi ku-unlike.
 
Natafuta alietoa point zaidi ya hii yako, nikiikuta narudi kuchukua like yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…