Roho mbaya tuThubutuuu!
Hiyo like yangu nakuja kuihamisha, ngoja nisome comment ya supermarket kwanza narudi
Naja kuichukua like yangu, ngoja nilinganishe comment yako na ya Iceman 3D
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi kweli like yangu ni ya kulinganisha na ya supermarket!!?
We ngoja niichukue ndo utajua
-Sakayo kazia humo humo, mpokonye like zako fasta bila kumuangalia usoni atatia huruma huyu Iceman 3DLakin supermarket hajaongea point ya kutisha saana kias uninyang'anye.
Bado nastahili like
Sasa wewe ni mchochezi, ningempokonya ila naona mnachuana kulee kwenye mapoint.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ole wake mtu achukue like yake, patachimbika bila jembe humu
-Sakayo kazia humo humo, mpokonye like zako fasta bila kumuangalia usoni atatia huruma huyu Iceman 3D
HahahaNatafuta alietoa point zaidi ya hii yako, nikiikuta narudi kuchukua like yangu.
Ndugu yangu we leo wa kunifanyia hivo!!! [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ole wake mtu achukue like yake, patachimbika bila jembe humu
-Sakayo kazia humo humo, mpokonye like zako fasta bila kumuangalia usoni atatia huruma huyu Iceman 3D
Like yangu ni yako mam usijaliSasa wewe ni mchochezi, ningempokonya ila naona mnachuana kulee kwenye mapoint.
Najua akipata tuzo na mie nimepata
Na point yako ni yanguLike yangu ni yako mam usijali
AhahahHaaaaaNimekupa like, baadae ntaichukua! Hapo nimeihifadhi tu ..
Kuna mahali ntaipeleka baadae!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndugu yangu we leo wa kunifanyia hivo!!! [emoji28]
Kweli rafiki wa kweli Mungu.
Jumlisha na Like yangu hapo ziwe 3Like yangu ni yako mam usijali
Ongeza na point yangu hapo ziwe 3Na point yako ni yangu
Usimpokonye tena LIKE huyo jamaa safi sana, kwenye tunzo kura zangu nitamuongezea yeye ili apate kuwa mshindi. Najua akipata tunzo mimi na wewe pia tutapataSasa wewe ni mchochezi, ningempokonya ila naona mnachuana kulee kwenye mapoint.
Najua akipata tuzo na mie nimepata
Hapo ndo umekuwa mzalendo, Una uhakika hutaumia kweliUsimpokonye tena LIKE huyo jamaa safi sana, kwenye tunzo kura zangu nitamuongezea yeye ili apate kuwa mshindi. Najua akipata tunzo mimi na wewe pia tutapata
Sasa hiyo kufuru[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jumlisha na Like yangu hapo ziwe 3
Ongeza na point yangu hapo ziwe 3
Hii Like niliyokupa itunze... naumkumbushe huyo mdau hapo Kwamba, awe anawapa wote tu. Bila kujali kaamia timu pinzani.Natafuta alietoa point zaidi ya hii yako, nikiikuta narudi kuchukua like yangu.
Hapana siwezi kuumia mkuu, Iceman 3D ni best friend, kura zangu namuongezea yeye apate kuwa mshindi.Hapo ndo umekuwa mzalendo, Una uhakika hutaumia kweli
-hatusemi kufuru, tunasema tumevunja rekodi kwa points nyingiSasa hiyo kufuru
Na kweli zitakuwa nyingi, sasa mpaka Iceman 3D akubalii hHapana siwezi kuumia mkuu, Iceman 3D ni best friend, kura zangu namuongezea yeye apate kuwa mshindi.
-hatusemi kufuru, tunasema tumevunja rekodi kwa points nyingi
U & I.......Na point yako ni yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jumlisha na Like yangu hapo ziwe 3
Ongeza na point yangu hapo ziwe 3
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii Like niliyokupa itunze... naumkumbushe huyo mdau hapo Kwamba, awe anawapa wote tu. Bila kujali kaamia timu pinzani.