Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

Nyeto inashida gani kwani mkuu?
ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi maishani mwako,

kiufupi,
wapiga nyeto na wasagaji wengi hua hawafanikiwi katika kila wanalopanga na linalokaribia kufanikiwa lina buma πŸ’
 
Ila sishangai huko karatu na manyara mna amini mambo ya ajibu sana🀣🀣🀣🀣🀣
huenda hawajihusishi kabisa na upiga nyeto au kusagana kama huko umatumbini kwenu gentleman ndio maana kila moja wao amafanikiwa na mpaka sasa wanawatengenezea visungura nanyi mnaenjooooy dah japo mna hali ngumu na mikosi ya nyeto πŸ’
 
pesa ipo gentleman na wala hakuna kuringa,
. Lazma nisaidie wengine namna ya kufanikiwa kirahisi kwa neema na Baraka za Mungu,

njia mojawapo muhimu sana ni kuacha nyeto na kusagana. Hiyo ni nuksi, unajisi na mikosi maishani mwako πŸ’
Sipo hapa kutetea eti sijui nyeto , ushoga na huo usangaji ila napingna na wewe kuhusu kufanikiwa kwa kuamini eti sijui nuksi unabii , ipo mifano mingi duniani watu wanaofanya hayo mambo na wamefanikiwa mno .

Ndio maana nikasemaje hizo sio sababu za kutofanikiwa kiuchumi, legeza ubongo gentleman πŸ’.
 
Unaweza kupata ikiwa uliomba Toba na Rehema kwa Mungu aliye hai kwa kumaanisha na ukaazimia moyoni hutafanya tena.

NB: Isiwe umeomba kwa Miungu mingine
kwa kumaanisha πŸ€”
hiv huwa inakuwaje hapo ?
 
huenda hawajihusishi kabisa na upiga nyeto au kusagana kama huko umatumbini kwenu gentleman ndio maana kila moja wao amafanikiwa na mpaka sasa wanawatengenezea visungura nanyi mnaenjooooy dah japo mna hali ngumu na mikosi ya nyeto πŸ’
😁😁😁 endelea kupambana asee
 
Gentleman,
kwa 100% we endekeza nyeto mafanikio utayasikia na kuyaona kwenye post za nyuzi za wadau wa JF pekee.

hakuna mpiganyeto na msagaji anaeweza kufanikiwa na akainjoy, zaidi ya kuhangaika kutibu madhara na athari za fedheha sana za nyeto πŸ’
 
😁😁😁 endelea kupambana asee
mimi sipambani gentleman,
nawapambania vijana ili hatimae waweze kutoboa maisha,

waachane na mikosi itokanayo na nyeto na usagaji, zitawazeesha tu na kuwasababishia umaskini wa mateso sana πŸ’
 
😁😁 gentleman usichukulie seriously sana , amini unachokiamini tu ila ukiombwa uthibitisho usilalamike bro.
 
Sasa wewe fara kipi ni kibaya zaidi hapo ...upumbavu ni kuwaita wahuni wa ccm kuwa ni mitume na manabii
 
mimi sipambani gentleman,
nawapambania vijana ili hatimae waweze kutoboa maisha,

waachane na mikosi itokanayo na nyeto na usagaji, zitawazeesha tu na kuwasababishia umaskini wa mateso sana πŸ’
Hii akili ya sijui mikosi mimi ndio nina shida nayo kama ni pesa kila mtu humu anajua unazo gentleman πŸ˜…
 
Kama na nabii nae katoka kupiga nyeto au kusagana itakuwaje?
 
YESU KRISTO akauambia umati akasema "AMBAE HANA DHAMBI HATA MOJA....NA AWE WA KWANZA KUTUPA JIWE KWA HUYU MWANAMKE"

Mara punde umati wote ukatawanyika ☺️😊☺️
 
Nabii wa aina hiyo ni Nabii wa Baali. Na hizo baraka anazodai anatoa ni laana tu. Mtu akienda kwa Nabii wa kweli akiwa mdhambi hivyo ataumbuliwa tu. Maana kitu cha kwanza ni Toba.
 
No sex until marriage
 
Mi huwa nafuatilia manabii kwenye tv,lakini sijawahi ona wanakemea dhambi,wao wanahubiri kuhusu utajiri na mafanikio tu
Hawa huwa nawaza wapo upande wa SHETANI kwa kutumia kivuli cha kanisa

Au huwa naona vibaya
 
mimi sipambani gentleman,
nawapambania vijana ili hatimae waweze kutoboa maisha,

waachane na mikosi itokanayo na nyeto na usagaji, zitawazeesha tu na kuwasababishia umaskini wa mateso sana πŸ’
Mkuu hiyo mkuu bora uzinzi kuliko nyeto sio?/
Maana usipo piga nyeto lazima uwe mzinzi unless uwe ni gasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…