Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

Nyeto inashida gani kwani mkuu?
ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi maishani mwako,

kiufupi,
wapiga nyeto na wasagaji wengi hua hawafanikiwi katika kila wanalopanga na linalokaribia kufanikiwa lina buma šŸ’
 
Ila sishangai huko karatu na manyara mna amini mambo ya ajibu sana🤣🤣🤣🤣🤣
huenda hawajihusishi kabisa na upiga nyeto au kusagana kama huko umatumbini kwenu gentleman ndio maana kila moja wao amafanikiwa na mpaka sasa wanawatengenezea visungura nanyi mnaenjooooy dah japo mna hali ngumu na mikosi ya nyeto šŸ’
 
pesa ipo gentleman na wala hakuna kuringa,
. Lazma nisaidie wengine namna ya kufanikiwa kirahisi kwa neema na Baraka za Mungu,

njia mojawapo muhimu sana ni kuacha nyeto na kusagana. Hiyo ni nuksi, unajisi na mikosi maishani mwako šŸ’
Sipo hapa kutetea eti sijui nyeto , ushoga na huo usangaji ila napingna na wewe kuhusu kufanikiwa kwa kuamini eti sijui nuksi unabii , ipo mifano mingi duniani watu wanaofanya hayo mambo na wamefanikiwa mno .

Ndio maana nikasemaje hizo sio sababu za kutofanikiwa kiuchumi, legeza ubongo gentleman šŸ’.
 
Unaweza kupata ikiwa uliomba Toba na Rehema kwa Mungu aliye hai kwa kumaanisha na ukaazimia moyoni hutafanya tena.

NB: Isiwe umeomba kwa Miungu mingine
kwa kumaanisha šŸ¤”
hiv huwa inakuwaje hapo ?
 
huenda hawajihusishi kabisa na upiga nyeto au kusagana kama huko umatumbini kwenu gentleman ndio maana kila moja wao amafanikiwa na mpaka sasa wanawatengenezea visungura nanyi mnaenjooooy dah japo mna hali ngumu na mikosi ya nyeto šŸ’
😁😁😁 endelea kupambana asee
 
Sipo hapa kutetea eti sijui nyeto , ushoga na huo usangaji ila napingna na wewe kuhusu kufanikiwa kwa kuamini eti sijui nuksi unabii , ipo mifano mingi duniani watu wanaofanya hayo mambo na wamefanikiwa mno .

Ndio maana nikasemaje hizo sio sababu za kutofanikiwa kiuchumi, legeza ubongo gentleman šŸ’.
Gentleman,
kwa 100% we endekeza nyeto mafanikio utayasikia na kuyaona kwenye post za nyuzi za wadau wa JF pekee.

hakuna mpiganyeto na msagaji anaeweza kufanikiwa na akainjoy, zaidi ya kuhangaika kutibu madhara na athari za fedheha sana za nyeto šŸ’
 
😁😁😁 endelea kupambana asee
mimi sipambani gentleman,
nawapambania vijana ili hatimae waweze kutoboa maisha,

waachane na mikosi itokanayo na nyeto na usagaji, zitawazeesha tu na kuwasababishia umaskini wa mateso sana šŸ’
 
Gentleman,
kwa 100% we endekeza nyeto mafanikio utayasikia na kuyaona kwenye post za nyuzi za wadau wa JF pekee.

hakuna mpiganyeto na msagaji anaeweza kufanikiwa na akainjoy, zaidi ya kuhangaika kutibu madhara na athari za fedheha sana za nyeto šŸ’
😁😁 gentleman usichukulie seriously sana , amini unachokiamini tu ila ukiombwa uthibitisho usilalamike bro.
 
Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli?

hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we endelea kujinajisi wewe mwenyewe na nyumba ya baba yako kwa nyeto na usagaji.

Surely,
unatoka geto kufanya uasherati na unzinzi moja kwa moja unaelekea kwa nabii kwenye maombi na maombezi ili upate kazi, mume au mke huku umetoka kunyanduana bila kutubu kabla ya kuomba Mungu, kweli ndungu zangu?

Tazama vijana waliojazana kwenye nyumba za maombi na maombezi kwa mitume na manabii, wengi hawafanikiwi kwasabb anatoka kunyanduana anaenda kwenye maombi akimaliza anarudi tena kwenye dhambi ile ile ya kunyanduana.

Amesahau kutubu,
amesahau kwamba uasherati uchafu na unajisi wa nafsi zetu na uzinzi ni dhambi na chukizo kwa Mungu. Yeye anaona ni haki tu kunyandua na kunyanduliwa kwasababu hakuna anae waona.

But Mungu wa mbinguni anatuona sisi sote live bila chenga mpaka mioyoni mwetu.

Tubuni na kuiamini injili na Mungu awabariki sana šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Sasa wewe fara kipi ni kibaya zaidi hapo ...upumbavu ni kuwaita wahuni wa ccm kuwa ni mitume na manabii
 
mimi sipambani gentleman,
nawapambania vijana ili hatimae waweze kutoboa maisha,

waachane na mikosi itokanayo na nyeto na usagaji, zitawazeesha tu na kuwasababishia umaskini wa mateso sana šŸ’
Hii akili ya sijui mikosi mimi ndio nina shida nayo kama ni pesa kila mtu humu anajua unazo gentleman šŸ˜…
 
Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli?

hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we endelea kujinajisi wewe mwenyewe na nyumba ya baba yako kwa nyeto na usagaji.

Surely,
unatoka geto kufanya uasherati na unzinzi moja kwa moja unaelekea kwa nabii kwenye maombi na maombezi ili upate kazi, mume au mke huku umetoka kunyanduana bila kutubu kabla ya kuomba Mungu, kweli ndungu zangu?

Tazama vijana waliojazana kwenye nyumba za maombi na maombezi kwa mitume na manabii, wengi hawafanikiwi kwasabb anatoka kunyanduana anaenda kwenye maombi akimaliza anarudi tena kwenye dhambi ile ile ya kunyanduana.

Amesahau kutubu,
amesahau kwamba uasherati uchafu na unajisi wa nafsi zetu na uzinzi ni dhambi na chukizo kwa Mungu. Yeye anaona ni haki tu kunyandua na kunyanduliwa kwasababu hakuna anae waona.

But Mungu wa mbinguni anatuona sisi sote live bila chenga mpaka mioyoni mwetu.

Tubuni na kuiamini injili na Mungu awabariki sana šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Kama na nabii nae katoka kupiga nyeto au kusagana itakuwaje?
 
YESU KRISTO akauambia umati akasema "AMBAE HANA DHAMBI HATA MOJA....NA AWE WA KWANZA KUTUPA JIWE KWA HUYU MWANAMKE"

Mara punde umati wote ukatawanyika ā˜ŗļøšŸ˜Šā˜ŗļø
 
Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli?

hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we endelea kujinajisi wewe mwenyewe na nyumba ya baba yako kwa nyeto na usagaji.

Surely,
unatoka geto kufanya uasherati na unzinzi moja kwa moja unaelekea kwa nabii kwenye maombi na maombezi ili upate kazi, mume au mke huku umetoka kunyanduana bila kutubu kabla ya kuomba Mungu, kweli ndungu zangu?

Tazama vijana waliojazana kwenye nyumba za maombi na maombezi kwa mitume na manabii, wengi hawafanikiwi kwasabb anatoka kunyanduana anaenda kwenye maombi akimaliza anarudi tena kwenye dhambi ile ile ya kunyanduana.

Amesahau kutubu,
amesahau kwamba uasherati uchafu na unajisi wa nafsi zetu na uzinzi ni dhambi na chukizo kwa Mungu. Yeye anaona ni haki tu kunyandua na kunyanduliwa kwasababu hakuna anae waona.

But Mungu wa mbinguni anatuona sisi sote live bila chenga mpaka mioyoni mwetu.

Tubuni na kuiamini injili na Mungu awabariki sana šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Nabii wa aina hiyo ni Nabii wa Baali. Na hizo baraka anazodai anatoa ni laana tu. Mtu akienda kwa Nabii wa kweli akiwa mdhambi hivyo ataumbuliwa tu. Maana kitu cha kwanza ni Toba.
 
Ukweli mchungu.

Then wasipopokea wanaanza kulalamika Mungu hayupo, Nabii ni fake.

Bahati mbaya Manabii wa Sasa hawawaambii ukweli, wao wanataka kuuza Maji na Mafuta ya upako.

Bila kuacha Dhambi na kuishi maisha matakatifu maombi Yako kwa Mungu ni kelele ambazo Huwa hata hasikilizagi.
No sex until marriage
 
Mi huwa nafuatilia manabii kwenye tv,lakini sijawahi ona wanakemea dhambi,wao wanahubiri kuhusu utajiri na mafanikio tu
Hawa huwa nawaza wapo upande wa SHETANI kwa kutumia kivuli cha kanisa

Au huwa naona vibaya
 
mimi sipambani gentleman,
nawapambania vijana ili hatimae waweze kutoboa maisha,

waachane na mikosi itokanayo na nyeto na usagaji, zitawazeesha tu na kuwasababishia umaskini wa mateso sana šŸ’
Mkuu hiyo mkuu bora uzinzi kuliko nyeto sio?/
Maana usipo piga nyeto lazima uwe mzinzi unless uwe ni gasho.
 
Back
Top Bottom