Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli?

hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we endelea kujinajisi wewe mwenyewe na nyumba ya baba yako kwa nyeto na usagaji.

Surely,
unatoka geto kufanya uasherati na unzinzi moja kwa moja unaelekea kwa nabii kwenye maombi na maombezi ili upate kazi, mume au mke huku umetoka kunyanduana bila kutubu kabla ya kuomba Mungu, kweli ndungu zangu?

Tazama vijana waliojazana kwenye nyumba za maombi na maombezi kwa mitume na manabii, wengi hawafanikiwi kwasabb anatoka kunyanduana anaenda kwenye maombi akimaliza anarudi tena kwenye dhambi ile ile ya kunyanduana.

Amesahau kutubu,
amesahau kwamba uasherati uchafu na unajisi wa nafsi zetu na uzinzi ni dhambi na chukizo kwa Mungu. Yeye anaona ni haki tu kunyandua na kunyanduliwa kwasababu hakuna anae waona.

But Mungu wa mbinguni anatuona sisi sote live bila chenga mpaka mioyoni mwetu.

Tubuni na kuiamini injili na Mungu awabariki sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kweli mkuu.
Hasa vijana walioko chuo wanafanya zinaa za kutosha wengine wanatembea hadi na mishangazi halafu wakimaliza chuo wanalalamika ajira hamna kumbe wamejitia nuksi kwa dhambi waliyoifanya.
 
uoga na uvuvi wako ndio umaskini wako,

upigaji nyeto wako na usagaji wako ndio nuksi na unajisi wako hata usifanikiwe kila unalojaribu kulifanya.

Tubu na kujipatanisha na Mungu kwanza, nae atakuonyesha njia na kukufanyia wepesi katika ugumu unaopitia.

hakuna haja kumdingizia mwingine.
Mchawi wa hali yako ni wewe mwenyewe na Mungu ndio mganga mkuu pekee wa kukukwamua ulipokwama.🐒

Mungu akuhurumie gentleman
Umeandika utumbo , vijana wachape kazi hakuna cha Mungu wala kitu gani , maombi hayasaidii chochote na dunia haina huruma .

Nyeto napiga na kila saa na chess 💸 .Acheni swaga za kuwadanganya vijana wakati mnasinzia bungeni tu pesa inaingia.
 
basi usilalamike huna ajira au maisha magumu, nuksi unazovuna na kujipaka ndizo zitakazoendeleza hali uliyonayo mpaka pale utakabobadili mwenendo wa ambao ni chukizo na uchafu machoni pa Mungu.

Utabaki kua mfano au reference ya kufundisha wengine athari za mikosi na nuksi ya punyeto kwenye maisha ya mpiga punyeto mwenyewe, 🐒

Mungu akuhurumie gentleman
 
Kwamba nafasi ya wasira ipo ila kijana mmoja asiye na ajira haipo?
wasira ni next level, uzoefu wake ndio unafanya apewe nafasi hiyo. Kijana gani wa UVCCM anaiweza nafasi ya wasira? ni kazi ngumu ile, kukabiliana na siasa za ndani ya chama chao na nje ya chama
 
wasira ni next level, uzoefu wake ndio unafanya apewe nafasi hiyo. Kijana gani wa UVCCM anaiweza nafasi ya wasira? ni kazi ngumu ile, kukabiliana na siasa za ndani ya chama chao na nje ya chama
Kwa hiyo vijana waende kwa hao manabii uchwara sio?
 
basi usilalamike huna ajira au maisha magumu, nuksi unazovuna na kujipaka ndizo zitakazoendeleza hali uliyonayo mpaka pale utakabobadili mwenendo wa ambao ni chukizo na uchafu machoni pa Mungu.

Utabaki kua mfano au reference ya kufundisha wengine athari za mikosi na nuksi ya punyeto kwenye maisha ya mpiga punyeto mwenyewe, 🐒

Mungu akuhurumie gentleman
Huu ni ujinga mnaojazana humo makanisani ,kwanza thibitisha uwepo wa Mungu , nuksi na hizo blabla nyingine mnazoaminishana humo makanisani! Kuwa na kiongozi anaeona umaskini wa africa ni nuksi na blalba za kijinga eti sijui punyeto ni jambo la kushangaza sana.
 
Gentleman,
hoja mahususi ni angalizo na ushauri kwa wanatafuta neema na Baraka za Mungu wakiwa wadhambi, na kwahivyo ni muhimu sana watubu na kujiepusha na uchafu wanaoufanya ili wabarikiwe,

Lakini pia,
vijana wengi tena watanashati na warembo wanateswa na nuksi na mikosi na hawafanikiwi kwasasababu ya punyeto na usagaji,.

My friends, ladies and gentlemen,
hutapendeka au kufanikiwa ikiwa wewe ni mpiga nyeto au msagaji,

daima utakua mtu wa kulalamika na kulaumu wengine kumbe ni nuksi, unajisi na mikosi unajipaka mwenyewe kwa nyeto na usagaji wako,

Chukua hiyo itakusaidia gentleman 🐒
 
Gentleman,
hoja mahususi ni angalizo na ushauri kwa wanatafuta neema na Baraka za Mungu wakiwa wadhambi, na kwahivyo watubu na kujiepusha na uchafu wanaoufanya,

Lakini pia,
vijana wengi tena watanashati na warembo wanateswa na nuksi na mikosi ya mafanikio kwasasababu ya punyeto na usagaji,.

My friends ladies and gentlemen,
hutapendeka au kufanikiwa ikiwa wewe ni mpiga nyeto au msagaji,

daima utakua mtu wa kulalamika na kulaumu wengine kumbe ni nuksi, unajisi na mikosi unayojipaka mwenyewe kwa nyeto na usagaji wako,

Chukua hiyo itakusaidia gentleman 🐒
Huu ni utumbo mwingine umendika tafuta pesa ndugu mbuge wewe bado sana asee.😆😆
 
Huu ni utumbo mwingine umendika tafuta pesa ndugu mbuge wewe bado sana asee.😆😆
sasa mimi pesa ipi tena gentleman kwa mfano, hali ya kua kwa mwaka huu wa kilimo nimeshafukia ardhini pesa zaidi ya ekari mia4, huku mingurue, ming'ombe, mimbuzi na mikondoo inanenepeana tu shamba?

kwanini nisitumie muda huu kuwashauri wadau wasaka mafanikio kwamba nyeto ni NAJISI, nuksi na mikosi kwako mwenyewe?🐒
 
ni kweli kaka watu wanajisahaulisha kuwa mungu habariki bariki tuu kila kituu. wote aliowabariki walimpendeza sanaaa maisha yao . sasa wtu wanajazanana ukifatilia utaona malaya na walevi wezi n.k ndio wanaoenda kujazana ukooo.
 
sasa mimi pesa ipi tena gentleman kwa mfano, hali ya kua kwa mwaka huu wa kilimo nimeshafukia ardhini pesa zaidi ya ekari mia4, huku mingurue, ming'ombe, mimbuzi na mikondoo inanenepeana tu shamba?

kwanini nisitumie muda huu kuwashauri wadau wasaka mafanikio kwamba nyeto ni NAJISI, nuksi na mikosi kwako mwenyewe?🐒
Akili za, eti sijui za nuksi , eti sijui kuombewa na manabii eti sijui Pete za bahati , mara jicho la tatu hizo utazikuta tu zimezagaa sehemu duni tu mkuu , zipo njia za kuwashauri vijana ila hizi za kwako utazipata kwa wale matajiri uchwara wenye mavitambi uchwara wanaoaminisha watu huko vijijini kuwa wao ni ma freemason 🤣🤣🤣🤣
 
sasa kama sio nuksi unalalama nini kuhusu ukosefu wa ajira na maisha magumu hali ya kua wengine wanatusua maisha mazuri kiulaini kama sio mikosi ya nyeto zako?

hakuna cha ufreemason wala nini,
acha kujipaka unajisi, nuksi na mikosi kwa nyeto na usagaji, jipatanishe na kujiambatanisha na Mungu,

Na kwa Neema na Baraka zake utatusua maisha kiulaini mpka ushangae,

vinginevyo,
wee endekeza nyeto na usagaji mpaka mikono mbususu na mshedede viote sugu na ugoko, kama hujaishi maisha yako yote bila ajira wala maisha mazuri,
bali kulalamika tu na kulaumu wengine kuhusu ugumu wa maisha yako 🐒
 
Umeandika nonsense tena, nasema uzidi kutafuta pesa uache mawazo ya kimaskini ndugu mheshimiwa.
 
Ila sishangai huko karatu na manyara mna amini mambo ya ajibu sana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeandika nonsense tena, nasema uzidi kutafuta pesa uache mawazo ya kimaskini ndugu mheshimiwa.
pesa ipo gentleman na wala hakuna kuringa,
. Lazma nisaidie wengine namna ya kufanikiwa kirahisi kwa neema na Baraka za Mungu,

njia mojawapo muhimu sana ni kuacha nyeto na kusagana. Hiyo ni nuksi, unajisi na mikosi maishani mwako 🐒
 
Back
Top Bottom