Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,293
Reaction score
583
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before



 

Attachments

  • rsz_thabit_after_1.jpg
    27.2 KB · Views: 4,268
Hiyo dawa inapatiakana maduka yepi?
 
Acha kuongopea. Hizo picha mbili ni za watu wawili tofauti kabisa wajuu ana asili ya kiarabu na ni mzee flani ivi wachini bado young.. Hata kipofu hashindwi kugundua hilo.. Tupe evidence nyingine utuconvice.. 😉
 
Acha kuongopea. Hizo picha mbili ni za watu wawili tofauti kabisa wajuu ana asili ya kiarabu na ni mzee flani ivi wachini bado young.. Hata kipofu hashindwi kugundua hilo.. Tupe evidence nyingine utuconvice.. 😉

Huyo ni mtu mmoja sina sababu ya kukuongopea hata kidogo na ni mwanangu mwenyewe.

Ni mtu mmoja picha zilipigwa sehemu tofauti na wakati tofauti ndiyo maana unaona different ya rangi.

Mie unanionaje kwenye avatar nina asili ipi?

Hayo ndio maajabu yenyewe, utafikiri watu wawili tofauti lakini ni mmoja tu, umemuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa kaota nywele anaonekana kijana zaidi. Na hiyo ndugu yangu ni baada ya wiki nne tu ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.

Ukipenda karibu nyumbani umuone mwenyewe. hakuna cha kuficha hapa.
 
Nitaipataje sasa iyo dawa na mm nipo morogoro

Morogoro WhatsApp 0625249605.

Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia ninaweza kukuelekeza kwani aijuwi hata kama Lina Morogoro anajuwa kuwa inasaidia pia haya matatizo ya nywele.

Kama hautopata kwa Lina Morogoro, basi wasiliana na mume wangu, Mzee Abdul 0756803528 atafanya njia ya kukutumia kwa mabasi yeye yupo Dar.
 

Sawa mama ntakuja.. Kazi njema!
 

Songea?
 
Arusha vp napataje na vp inatibu makovu Ya acne
 
Arusha vp napataje na vp inatibu makovu Ya acne

Arusha ipo inapatikana kwa Mama Aida -0754445733.

Inatibu makovu ya acne. Haina muda kamili wa kuyamaliza makovu yote inategemea ukubwa na wingi wa makovu lakini unaanza kuona results baada ya siku tatu tu, tumia mfululizo mpka yaishe yote. Haina madhara yoyote kwa matumizi ya muda mrefu.
 
Jana usiku nimefurahishwa sana na comment ya ManMoker hapo juu.

Mwanangu nimemuonesha post ya ManMoker kafurahi sana. Anasema sasa hata yeye anaamini kuwa kweli nywele zinaota kwa kasi mpaka watu hawaamini kuwa huyo ni yeye na sio watu tofauti.

Amecheka sana pale aliposoma kuwa hiyo picha ya kwanza ni ya mzee na ya pili ni ya kijana.

Ninawahakikishia huyo ni mtu mmoja, kabla na baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa muda mfupi sana.


Ninamtumia ManMoker kwa pm picha kamili zinazoonyesha sura ya mwanangu kabla na baada ili amuone vizuri kwa kumuhakikishia tu kuwa huyo mtu mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kweli sawa, ila nadhani watu wenye vipara tunaongoza kwa kutapeliwa

Nipo tayari kukupa utumie bure bila kulipia senti tano, mpaka utakapohakikisha kuwa kuna mabadiliko na mafanikio baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay ndio utalipia.

Kama haijakusaidia na haujaona mabadiliko unarudishiwa pesa yako bila masharti.

Hii ni bidhaa pekee ambayo nipo tayari kukupa utumie bure kwa tatizo lako lolote la ngozi, utalipia baada ya mafanikio tu.

Kwa wale wataotaka watumie bure bila kulipia, wahakikishe wanakuja kwangu na wanitumia hii dawa hapa hapa kwangu ili nihakikishe kweli wanaitumia ipasavyo.

Na wale wasio na uwezo wa kumudu kuinunua ni bure na waje kwangu Sinza kuchukuwa wakati wowote wala wasisite hata kidogo.

Karibuni.
 

Nina Kipara na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam na ni ijumaa leo ndani ya mwezi mtukufu, unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na vipara vyetu vikageuzwa mitaji aisee
 
Mkuu kuhusu picha hata mm nina mashaka,ile ya juu ana ndevu zinaonekana kabisa!masikio pia ni tofauti,hebu weka evidence nyingine nikuletee wateja 10 fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…