CMBC Mlalahoi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 222
- 69
Hahahaaaaaa. Wanatapeliwa kivipi mkuu.
Ha ha wengi hutoa matangazo lkn ukienda kutumia unakuta para ndo linaongezeka na hela ulishatoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaa. Wanatapeliwa kivipi mkuu.
Sawa mama ntakuja.. Kazi njema!
Acha kuongopea. Hizo picha mbili ni za watu wawili tofauti kabisa wajuu ana asili ya kiarabu na ni mzee flani ivi wachini bado young.. Hata kipofu hashindwi kugundua hilo.. Tupe evidence nyingine utuconvice.. 😉
Nina Kipara na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam na ni ijumaa leo ndani ya mwezi mtukufu, unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na vipara vyetu vikageuzwa mitaji aisee
Huyo ni mtu mmoja sina sababu ya kukuongopea hata kidogo na ni mwanangu mwenyewe.
Ni mtu mmoja picha zilipigwa sehemu tofauti na wakati tofauti ndiyo maana unaona different ya rangi.
Mie unanionaje kwenye avatar nina asili ipi?
Hayo ndio maajabu yenyewe, utafikiri watu wawili tofauti lakini ni mmoja tu, umemuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa kaota nywele anaonekana kijana zaidi. Na hiyo ndugu yangu ni baada ya wiki nne tu ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.
Ukipenda karibu nyumbani umuone mwenyewe. hakuna cha kuficha hapa.
Kweli aisee angalia MASIKIO YAO UTAGUNDUA NI WATU WAWILI TOFAUTI
Alhamdulillahi na Ramadhani hii jamani nidanganye?
Nimesema nipo tayari kukupa utumie kama haujafanikiwa usilipie.
Niseme nini zaidi ya hivyo?
Zainab Yawezekana dawa yako Ni Kweli unasaidia Maana MI mwenyewe inaanza kuota KIPARA Ila Picha za kwanza SI ZA MTU MMOJA ANGALIA MASIKIO NA MDUARA WA KICHWA INAONESHA SI MTU MMOJA. DHAMIRA YAKO NZURI ILA UKIINGIZA UONGO NITAANZA KUA NA MASHAKA NA BIDHAA PIA
Karibu sana.
Nimejaribu kukutumia picha zake kamili kwa pm zinazoonesha sura yake kabla na baada lakini nimeshindwa kwani zipo kwenye laptop yangu.
Sina sababu ya kudanganya jamani, huyo ni mwanangu na ni mtu mmoja, nimeshajibu hilo swali kwenye post nyingi. Zipitie.
Wabongo ndio maana wengine tumeumbwa na ngozi nyeusi lakini tunaamua kutumia madawa eti tuwe weupe, aliyekwambia kuwa weusi ni laana ni nani!?
Hivyo hivyo aliyekwambia kuwa kuwa na kipara ni ulemavu au laana ni nani!?
Una guarantee Maana Zisiponisaidia utakua umenitapeli, naomba nitumie niwe SHAHIDI WAKO HUMU NDANI
Huyo ni mtu mmoja sina sababu ya kukuongopea hata kidogo na ni mwanangu mwenyewe.
Ni mtu mmoja picha zilipigwa sehemu tofauti na wakati tofauti ndiyo maana unaona different ya rangi.
Mie unanionaje kwenye avatar nina asili ipi?
Hayo ndio maajabu yenyewe, utafikiri watu wawili tofauti lakini ni mmoja tu, umemuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa kaota nywele anaonekana kijana zaidi. Na hiyo ndugu yangu ni baada ya wiki nne tu ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.
Ukipenda karibu nyumbani umuone mwenyewe. hakuna cha kuficha hapa.
Ungetuwekea na jinsi ya kutumia kwa wale wenye vipara ili tukinunua kwa mawakala wa mikoani tujue tutatumiaje.
Kuwa mkweli huoni picha ya kwanza ni kubwa kama jiji na zinazo fuata ni ndogo kama municipal. Pia Nature follows its own line.take care
Ninataka wewe uje uanze kuutumia bure bila kulipia hata senti tano na uje kuwa shahidi yangu.
Zaidi ya hapa sijui nikupe ushahidi upi.
Sina haja ya kukuibia wala kumuibia yeyote yule na Mwenyeezi Mungu asinipe moyo huo.
Njoo tumia bure tu. Wala usiwe na wasi wasi ndugu yangu.
Na juu hukon imetoa offer, mwenye matatizo yoyote ambayo dawa hii itasaidia na hana uwezo wa ki fedha basi aje achukuwe dawa hii bure.