Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #61
Hujanielewa nadhani...nimemaanisha kwamba uedit post yako na uweke picha zingine zinazoonekana vyema.
Pointi yangu hapa ni kwamba post inaweza kuwa edited...ukaongeza picha, kuongeza maneno au kupunguza nk.
Ndio numekuelewa, mimi sielewi sana mambo ya picha, kama unaweza kunipa email nikutumie au whatsapp halafu wewe uziweke kwenye post yako halafu mimi nita copy na kuziweka kwenye post yangu.