Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #81
Mkuu CMBC Mlalahoi, kama Mungu kakuumba na kipara je!? Mimi mwenyewe kinanilengalenga na kiukweli sikipendi lakini sioni kama kuna short cut maana naogopa isije kuwa mithiri ya story nikiyoisikia BBC ya wadada wa Congo DRC na maumbile/makalio.
Usiwe na wasi wasi hii 100% natural remedy watu wengi sana hata humu humu JF ni ushahidi tosha wameshaitumia kwa matatizo ya ngozi kila aina na imewasaidia sana tena.
Tena ninakushauri, hata kama hauna tatizo lolote hii product inafaa uwenayo nyumbani kwenye first aid kit yako na hata kwenye gari. Inasaidia na inaponesha haraka kuunguwa kwa moto kuliko dawa nyingine yoyote uijuayo. na pia ukitafunwa na nyuki au wadudu wengine ni remedy ya haraka sana.
Karibu sana.