Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #541
Nilichukua Namba zenu zote, na niliweza kuwa tafuta lakini mlikuwa mnapiga Chenga tuu, sio tupo polini tunachimba Mara sijui baadae, yani imekuwa sarakasi mtindo mmoja..
H
hakuna kitu kama hicho,tuliotumia haikuonyesha mabadiliko yeyote na hakuna hata mtu mmoja aliyerudisha majibu yenye matumaini.LOLIONDO
Dk, Kigwangala si yupo jamani?
Atashughulikia tu hii ishu!
na amekimbia kabisaaa😀😀😀
Bei gani
Hii dawa bd ipo nataka kujaribu
Bado ipo, hii si dawa, hii ni tiba asilia.
We huna kipara kwanitehe tehe tehe vipara ng'oto
sina, bichwa langu lilivyo nikinyoa kipara ntawatisha watuWe huna kipara kwani
Hahahha okeysina, bichwa langu lilivyo nikinyoa kipara ntawatisha watu
Tiba asili sio dawa?! Haya mbapatikana wp na utoe maelekezo ya matumizi maana nitatuma mtu kununua
tehe tehe tehe vipara ng'oto
Mimi nywele zangu zinawasha sana, hivyo inanibidi kunyoa kipara kila wakati. kwa ujumla ni kwamba siwezi kukaa na nywele hii tiba yako itanifaa?Tusamehe kwa hilo. Kuna muda fulani tupo shamba na kuna muda tunakuwa chimbo, kuna muda tulikuwa tunahama Dar mjini na mambo memgi yameingiliana.
Unaweza kutupigia 0769302206 (yangu) au 0625249605 (mume wangu).
Pole kwa usumbufu.
tehe tehe tehe inategemea kichwa na kichwaVibaya sana...unapenda ualaza nini
tehe tehe tehe inategemea kichwa na kichwa
tehe tehe tehe upara haukufaiMie changu kama madenge...hapo vipi
tehe tehe tehe upara haukufai