Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Mimi nywele zangu zinawasha sana, hivyo inanibidi kunyoa kipara kila wakati. kwa ujumla ni kwamba siwezi kukaa na nywele hii tiba yako itanifaa?


Itakufaa sana, kwani inaondoa mba na vijipele vyovyote kichwani na mwilini.
 
Tiba asili sio dawa?! Haya mbapatikana wp na utoe maelekezo ya matumizi maana nitatuma mtu kununua


Matumizi kwenye huu uzi mwanzoni mwanzoni tumeyaelezea kwa kina, ina anufaa meni sana kichwani na mwilini kwa ujumla.

Sisi tupo Kibaha kwa sasa lakini ukitueleza upo wapi labda tuna mtu anaeuza huu udongo karibu yako.

Tunasisitiza hii si dawa hii ni tiba ya asili kuhusu mambo ya urembo toka enzi za mababu na mababu kwa miaka mingi sana iliyopita, ni vyema tu kuwa tumegundua na Tanzania ipo tena yenye ubora wa hali ya juu mpaka inatushangaza. Kama ni dawa basi ni ya ajabu sana.

Naomba uisome historia yake hapa: Tafiti za kisomi kuhusu udongo wetu / kama wetu
 
Huu udongo si kwa nywele tu na kwa mambo mengi mengine, ninaomba pitieni post hizi...

Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay
Siku hizi udongo huu haupatikani Dodoma
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761

 
Tunasubir mrejesho wa hii dawa kwa wale ambao wametumia... je nywele zimeota?
 
Huyo ni mtu mmoja sina sababu ya kukuongopea hata kidogo na ni mwanangu mwenyewe.

Ni mtu mmoja picha zilipigwa sehemu tofauti na wakati tofauti ndiyo maana unaona different ya rangi.

Mie unanionaje kwenye avatar nina asili ipi?

Hayo ndio maajabu yenyewe, utafikiri watu wawili tofauti lakini ni mmoja tu, umemuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa kaota nywele anaonekana kijana zaidi. Na hiyo ndugu yangu ni baada ya wiki nne tu ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.

Ukipenda karibu nyumbani umuone mwenyewe. hakuna cha kuficha hapa.
Dawa ya mvi tsh.Ngapi
 
upload_2017-4-28_9-27-23.png
 
Ongeza picha za wengine walioota nywele. Halafu mbona kila siku watu wanataka shuhuda "Live" lakini hawapewi?

Ndugu yangu ninakuelewa, lakini si rahisi watu kujitoa picha zao kwenye mitandao ya kijamii na binafsi siwezi kutoa picha za watu hata kwa idhini yao kwenye mitandao ya kijamii labda waziweke wenyewe.

Kama hadi leo hii hujahamasika sijui nikuhamasishe vipi zaidi ya kukuomba uutumie na ujionee mwenyewe.

Karibu sana.
 
Kizazi kisicho na iman kwan mmelazimishwa kama una hofu omba kuonana nae ana kwa ana mnakua kama kunguru wakat mnaweza kuonsna ana kwa ana
Asante sana ndugu yangu kwa kutusemea, hii kazi yetu ni ngumu kweli kweli, mpaka tumetoa offer kwa yeyote asiefanikiwa basi tunarudisha pesa, lakini bado tu.
 
Asante sana ndugu yangu kwa kutusemea, hii kazi yetu ni ngumu kweli kweli, mpaka tumetoa offer kwa yeyote asiefanikiwa basi tunarudisha pesa, lakini bado tu.

Asante kwa hii post nitakuja kununua nimeona namba za simu Nitakwenda kuliko karibu.... je ipo katika ujazo gani? Bei ikoje? Samahani kama ulishajibu haya maswali sijaweza kupitia kila comment
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom