Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
tehe tehe tehe yapo mbona, ya kipilipili na ya nywele lainiSasa tunafanyaje na hakuna mawigi ya wanaume🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe tehe tehe yapo mbona, ya kipilipili na ya nywele lainiSasa tunafanyaje na hakuna mawigi ya wanaume🙄
tehe tehe tehe yapo mbona, ya kipilipili na ya nywele laini
Mimi nywele zangu zinawasha sana, hivyo inanibidi kunyoa kipara kila wakati. kwa ujumla ni kwamba siwezi kukaa na nywele hii tiba yako itanifaa?
Tiba asili sio dawa?! Haya mbapatikana wp na utoe maelekezo ya matumizi maana nitatuma mtu kununua
Siku hizi udongo huu haupatikani DodomaHuu udongo si kwa nywele tu na kwa mambo mengi mengine, ninaomba pitieni post hizi...
Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.
Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:
Before
View attachment 268739 View attachment 268761
Siku hizi udongo huu haupatikani Dodoma
Nimempigia anasema siku hizi humleteiDodoma ulizia namba hii: 0653249898
Nimempigia anasema siku hizi humletei
Dawa ya mvi tsh.NgapiHuyo ni mtu mmoja sina sababu ya kukuongopea hata kidogo na ni mwanangu mwenyewe.
Ni mtu mmoja picha zilipigwa sehemu tofauti na wakati tofauti ndiyo maana unaona different ya rangi.
Mie unanionaje kwenye avatar nina asili ipi?
Hayo ndio maajabu yenyewe, utafikiri watu wawili tofauti lakini ni mmoja tu, umemuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa kaota nywele anaonekana kijana zaidi. Na hiyo ndugu yangu ni baada ya wiki nne tu ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.
Ukipenda karibu nyumbani umuone mwenyewe. hakuna cha kuficha hapa.
Ongeza picha za wengine walioota nywele. Halafu mbona kila siku watu wanataka shuhuda "Live" lakini hawapewi?
Ongeza picha za wengine walioota nywele. Halafu mbona kila siku watu wanataka shuhuda "Live" lakini hawapewi?
Asante sana ndugu yangu kwa kutusemea, hii kazi yetu ni ngumu kweli kweli, mpaka tumetoa offer kwa yeyote asiefanikiwa basi tunarudisha pesa, lakini bado tu.Kizazi kisicho na iman kwan mmelazimishwa kama una hofu omba kuonana nae ana kwa ana mnakua kama kunguru wakat mnaweza kuonsna ana kwa ana
Asante sana ndugu yangu kwa kutusemea, hii kazi yetu ni ngumu kweli kweli, mpaka tumetoa offer kwa yeyote asiefanikiwa basi tunarudisha pesa, lakini bado tu.