Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Upande wa zahanati...ukipita kwa mkuu wa JKT aliestaafu


Njia hiyohiyo, moja kwa moja mpaka kwetu, kama unaelekea Mleleguo, ingawa kwa sasa hiyo njia kubwa haipitiki kwa gari kwa kujaa madimbwi lakini kuna njia mbadala.

Karibu sana.
 
Kipara changu kina miaka 10 sasa kimeshakua sugu kichwani tofauti Na hicho cha mwanao ndio kimeanza hakijakua sugu sijui kitapona
 
Kipara changu kina miaka 10 sasa kimeshakua sugu kichwani tofauti Na hicho cha mwanao ndio kimeanza hakijakua sugu sijui kitapona

Jaribu, utafanikiwa tu.

Wengi huingia uvivu na kuacha njiani, inatakiwa wiki sita mfululizo kila siku halafu baada ya hapo kila wiki mara moja ku maintain. Utafurahia matokeo.

Kama hujaona mabadiliko tunarudisha pesa zako.
 
Zainab kwa moshi takupataje daah kwani mie kuna dalili za kipara japo sikipendiii 0764012423
 
Wadau wote,

Tunapenda kuwajulisha kuwa mpaka sasa tumeshasajili wana saccos zaidi ya 40 na tunaendelea kusaiili wana saccos wapya kila kukicha, kutoka sehemu mbali mbali za Tanzania na duniani kwa ujumla. Diaspora wengi wameanza kuitikia mwito wetu.

Pia tunapenda kuwafahamisha kuwa yeyote ataeungana nasi kwa sasa, tutamuingiza katika group letu jipya la "Biashara Vitendo SACCOS" (licha ya lile la "Vitendo SACCOS") ambalo unaungwa automatically unapojiunga tu na SACCOS yetu mpya.

Humo utaweza kutangaza biashara zako binafsi nasi pia tutasaidia kuzitangaza tena kwenye mitandao ya kijamii na baadae tutaziweka kwenye website yetu itakapokuwa tayari.

Karibuni sana wadau.

Ada ya kiingilo kwa sasa ni shillingi 10,000 (elfu kumi) ambazo zitatumwa kwa Mwenyekiti wa muda kwa njia ya Mpesa. Namba ni 0756803528 jina Ghafur Abdallah Mohamed.

Unaweza kupitia hapa: Fursa ya kukopa kukopesha kwa faida bila riba
 
Aiseee nina fungus za huku chini zinanitesa sana nimeshatumia dawa hizi za kwenye tube lkn bado,huu udongo unaweza ukanisaidia aunt Zainab
 
Aiseee nina fungus za huku chini zinanitesa sana nimeshatumia dawa hizi za kwenye tube lkn bado,huu udongo unaweza ukanisaidia aunt Zainab


Utakuponesha kabisa si kukusaidia tu.

Kama haujapona money back guarantee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…