Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Dah, mimi binafsi natumia maximum shilingi 3000, na hapo naumiaga sana 😄😄....
Vipi nyie wenzangu?
Vipi nyie wenzangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha, numeipenda hyo.Mia tano najiunga dakika 20 mitandao yote, ni kifurushi kisichoisha muda,
Simu zangu ni simple, "oya vipi, leo wapi"
Tayari nakata, hakuna mbwembwe za kutongozana kwenye simu.
Sms najiunga sms 5000 kwa mwezi sawa na tsh 1000.
Mb najiunga 150 kifurushi kisichoisha muda, kwa 500.
Nazitumia kuperuzi JF na Google kutafuta mambo ya hapa na pale.
siingii youtube wala kokote kunakomaliza mb.
maisha simple tu wakuu.