Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
- Thread starter
- #21
Ni kiwango cha vitu utakavyoweka ili ifanye freezing katika maximum efficiency, ukiweka zaidi yaa hapo vitu vitakua freezed kwa viwango tofauti ila huwa ni mulemule,Chest freezer ikoje yenyewe.
Pia nahitaji freezer ya kwa ajili ya ice blocks niwauzie wauza vinywaji pamoja na wauza samaki na pia hata mtu uweze kutengeneza barafu za kuuza za shilingi mia mia ama hamsini.
Pia utajuaje uwezo wa freezer Kuna moja hapa niliiona imeandikwa freezing capacity 18kg/24hrs inamaanisha nini hiyo hapo juu
View attachment 3268236nielezee hii kidogo ikoje,
Chest Freezer ni nzuri na zina save energy na zina freeze haraka pia