Unatumia fridge ipi kati ya hizi?

Unatumia fridge ipi kati ya hizi?

Chest freezer ikoje yenyewe.
Pia nahitaji freezer ya kwa ajili ya ice blocks niwauzie wauza vinywaji pamoja na wauza samaki na pia hata mtu uweze kutengeneza barafu za kuuza za shilingi mia mia ama hamsini.

Pia utajuaje uwezo wa freezer Kuna moja hapa niliiona imeandikwa freezing capacity 18kg/24hrs inamaanisha nini hiyo hapo juu
View attachment 3268236nielezee hii kidogo ikoje,
Ni kiwango cha vitu utakavyoweka ili ifanye freezing katika maximum efficiency, ukiweka zaidi yaa hapo vitu vitakua freezed kwa viwango tofauti ila huwa ni mulemule,
Chest Freezer ni nzuri na zina save energy na zina freeze haraka pia
 
Wapi freeza nahitaji ya lita 300

Airlux 550L-1.5M
IMG-20250312-WA0008.jpg


Airlux 260L- 900K
IMG-20250312-WA0009.jpg


Hisense 245L-900K
IMG-20250312-WA0012.jpg


Ailyons 198L-700K
IMG-20250312-WA0011.jpg


ROCH Chest 212L-700K
IMG-20250312-WA0007.jpg


Airlux 142L-600K
IMG-20250312-WA0010.jpg


Hisense 297L-1M
IMG-20241111-WA0014.jpg


Hisense 198-800K
IMG-20250311-WA0030.jpg


Hisense 142L-700K
1741810940333.jpeg


Hisense 420L-1.3M
IMG-20240424-WA0002.jpg


Hisense 95L-600K
IMG-20241017-WA0003.jpg
 
zile frigde za LG za lita 100 hadi 150 zimekuwa adimu sana, sasa hivi zipo hizi kubwa zenye smart controller na ni expensive sana
 
Back
Top Bottom