Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
- Thread starter
-
- #21
Ni kiwango cha vitu utakavyoweka ili ifanye freezing katika maximum efficiency, ukiweka zaidi yaa hapo vitu vitakua freezed kwa viwango tofauti ila huwa ni mulemule,Chest freezer ikoje yenyewe.
Pia nahitaji freezer ya kwa ajili ya ice blocks niwauzie wauza vinywaji pamoja na wauza samaki na pia hata mtu uweze kutengeneza barafu za kuuza za shilingi mia mia ama hamsini.
Pia utajuaje uwezo wa freezer Kuna moja hapa niliiona imeandikwa freezing capacity 18kg/24hrs inamaanisha nini hiyo hapo juu
View attachment 3268236nielezee hii kidogo ikoje,
462Litres; 2.3MFrame number 3
Wapi freeza nahitaji ya lita 300
Mwaga pesa tajiri462Litres; 2.3M
Ndiyo Mkuu, nakujaHujanishauri ya kugandishia mabarafu
Hii chuma umeme wa ten siku haipinduki tena ukijichanganya utalala gizani!!!
Fridge za kisasa zina inverter, umeme mdogo sana unatumikaHii chuma umeme wa ten siku haipinduki tena ukijichanganya utalala gizani!!!
ni wazuri sana, wamarekani hawakoseagi inapokuja kwenye uboraWhirlpool unawazungumziaje