Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Duh, hii inafanyaje kazi aiseeNatumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Ni kama Ha Tunnel, masuala ya kutafuta bug hosts, ila hii ni server yangu binafsi.Duh, hii inafanyaje kazi aisee
Aisee!Natumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Naomba kushareNi kama Ha Tunnel, masuala ya kutafuta bug hosts, ila hii ni server yangu binafsi.
Inafanyaje kazi! Tupeane tipsNatumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Superkasi kwa 120,000 for my entire familyMimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.
Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
Ni kawaida kama vpn au proxy software zinavyo tunnel connection, mfano ha tunnel, lakini hii nimehost mwenyewe siwezi share na mtu cause once ikiwa public isp wanafahamu na kuku block, kwenye server nimehost v2ray.Inafanyaje kazi! Tupeane tips
Natumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.