Kwakweli bado sijaona cha kunikasirisha so far. Life is so goodSasa unakasirikia nini
Heri ya mwaka mpya mahi wangu
life is good sana na nashukuru kwa hilo.Kwakweli bado sijaona cha kunikasirisha so far. Life is so good
Happy new year to you too dear, hope umefungua mwaka vizuri pande hiyo
Na Mungu azidi kutubariki tuendelee kufurahia maisha hadi mwisho🤗life is good sana na nashukuru kwa hilo.
Thank you so much, namshukuru Mungu mwaka umeanza vyema kabisa kama huko.
Nikipata pisi kali napiga bao tatu, moyo kwatuuUnatumia mbinu gani ili hasira ziishe?
1. Unalia?
2. Unakaa kimya?
3. Unapigana?
4. Unamuomba Mungu
5. Unamcomfront na kumfokea alikuudhi?
6. Unasikiliza music?
7. Unatoka out?
8. Unaongea na Baby?
Amen iwe hivyo dearNa Mungu azidi kutubariki tuendelee kufurahia maisha hadi mwisho🤗
NAKUPUZA TUH
nikiona unaendelea na ninakumudu nakumaliza kisheria, nitahakikisha unajuta walah
No 6.
Na kulala pia, km baba tamuu hajajikwaza namuomba game.
Anichangamshee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nipo hivyo sikasirikagi, nikufundishe mbinu?
Karibu PmNifundishe
Jamani 😃NAKUPUZA TUH
nikiona unaendelea na ninakumudu nakumaliza kisheria, nitahakikisha unajuta walah
Nimeipenda hii😃Ukiona umenikwaza nikakasirika basi tambua una MSAMAHA wangu 100%.
Ila ukiona umenikwaza Kisha nikacheka basi tambua hilo kosa lina kisasi , KAA CHONJO. (Kaa tayari).
#code 002
habari ya leo binti yangu leejaJamani 😃