Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?

Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?

Waislamu tumefundiahwa na Mtume wetu mtu anapokuwa na hasira achukue hatua moja kati ya hizi au zote kwa kwapamoja

1.Kujikinga na shetani (yaani kusema aùdhubillaahi minash-shaytwaanir-rajiim)
2.Kunywa maji
3.Kukaa chini(kwa aliyesimama)
4.Kulala chini (kwa aliyekaa)
 
Nikikasirika natabasamu

Nikikasirika zaidi huwa natafuta maji ya kunywa.
 
Kwakweli bado sijaona cha kunikasirisha so far. Life is so good

Happy new year to you too dear, hope umefungua mwaka vizuri pande hiyo
life is good sana na nashukuru kwa hilo.

Thank you so much, namshukuru Mungu mwaka umeanza vyema kabisa kama huko.
 
images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom