Unatumia mbinu gani ili hasira ziishe?

8, Kaka mzuri ndio kila kitu, nikishaongea nae mwenyewe anajua jinsi ya kunituliza basi hasira zote kwisha.

Kabla yake nilikuwa team 2, nakaa kimya yakinizidi nahamia 4 namuomba Mungu napata amani.
 
Namba 5 ndio hatuna sahihi ili huyo aliyeingia kwenye himaya yako asirudie tena,peleka spana mpaka siku nyingine awe anakuogopa kama ukoma.
 
Hasira ukaa moyoni mwa MTU mpumbavu,hasira uwapata watu wapumbavu pekee
 
Kufanya kazi, yaani hiyo siku kama niko shamba nitalima mpaka mnifate wenyewe !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…