Unatumia mbinu gani kudai watu unaowada? Nafikiria kutokopesha watu ovyo ovyo ila roho inanisuta

Unatumia mbinu gani kudai watu unaowada? Nafikiria kutokopesha watu ovyo ovyo ila roho inanisuta

Hahaha hakunaga njia ya kumdai mtu bila kumkwaza ila inakupasa uweke ukomo wa muda wa hayo marejesho ya mkopo kwa kumbukumbu ya maandishi, uwe unatumia simu zao hao wateja wako wao wenyewe waji-commit kupitia jumbe fupi za kawaida au mtandao wa WhatsApp na video recording ili waki-default walipe fidia kulipa hasara.

Ni bora uwe na wateja wachache ila waaminifu kuliko kuwa na customer base kubwa lakini wazinguzi. Biashara itakuwa na growth pace ndogo but it'll be a worthy shot.
 
Ndio

Sent From Galaxy S9
Kwa mtazamo wangu mbinu unayoweza kuitumia kwa kudai, ambayo ni nzuri na inasaidia ni kupitia msg za Simu! Wadaiwa walio wengi huwa hawapendi kukumbushwa Mara kwa Mara kuhusu deni analodaiwa! Hivyo basi hakikisha kila siku unamfowardia msg za kukumbusha deni lako kwake, lkn pia usiache kuonyesha masikitiko yako kwa jinsi anavyokucheleweshea kukulipa!
Wastani wa msg kwa siku zisipungue 10.
Ukifanya hivi Hata wiki mbili haziwezi kupita kabla deni lako hajalipa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya kukopesha kwa maisha ya saivii ngumu sanaa.. acha kufanya ivoo.. tumia cash..
 
Back
Top Bottom