Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Ushauri mzuri. Naanza kuutumia leo [emoji23]Kwa mtazamo wangu mbinu unayoweza kuitumia kwa kudai, ambayo ni nzuri na inasaidia ni kupitia msg za Simu! Wadaiwa walio wengi huwa hawapendi kukumbushwa Mara kwa Mara kuhusu deni analodaiwa! Hivyo basi hakikisha kila siku unamfowardia msg za kukumbusha deni lako kwake, lkn pia usiache kuonyesha masikitiko yako kwa jinsi anavyokucheleweshea kukulipa!
Wastani wa msg kwa siku zisipungue 10.
Ukifanya hivi Hata wiki mbili haziwezi kupita kabla deni lako hajalipa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent From Galaxy S9