Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?

Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo
 
Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?Iliniuzunisha sana wakuu,nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo..
Maeneo ya usukumani wana dawa fulani wakizinyunyizia kwenye kinyesi hicho, basi yule aliyekiacha atasumbuka sana kule kwenye njia ya haja kubwa!
 
Mkuu we acha tu. Yaani tabia inakera hiyo si mchezo. Ndiyo ninayopambana nayo hayo na mimi. Inasikitisha sana. Sijui nini cha kufanya kukomesha hii tabia.
 
Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?Iliniuzunisha sana wakuu,nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo..
Tafuta hela mkuu ueke grill na madirisha la sivyo watalizindua hadi kwa mpalange ikawa nuksi tu😇
 
Labda uweke chumba kimoja mlango na bati za kulaza halafu muweke rasta mmoja akae tu mpe unga na mafuta sufuria akea tu! Kila wikend unaenda kumtembelea japo na mikate.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Maeneo ya usukumani wana dawa fulani wakizinyunyizia kwenye kinyesi hicho, basi yule aliyekiacha atasumbuka sana kule kwenye njia ya haja kubwa!
Maeneo ya kaskazini, zinapatikana wapi
 
Kuna huduma nyingine pia huzitekeleza humo,hujakuta maganda ya condoms kweli? Kamwe huwezi kuwatangulia wakulungwa,lazima wakuwahi kukuzindulia nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui huwa ni utamaduni au ni tabia tu iliyojengeka?
 
Zamani tukiwa wadogo tulikuwa tunaamini ukiweka majivu yaliyochanganywa na chumvi kwenye 'mzigo' wa mtu aliyeushusha pagalani, lazima 'uwemba' umuwashe hadi aombe msamaha
 
Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?Iliniuzunisha sana wakuu,nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo..
Kata miti yenye miiba na uiweke milangoni.wanyaji huwa hawaruki madirishani wanapitia milangoni
 
Sijui huwa ni utamaduni au ni tabia tu iliyojengeka?
Ni kukosa ustaarabu tu, ila bora mijini, vijijini nyumba nyingi hazina vyoo + wale watoto wanaochunga mifugo, ni kiboko ya mapagale, ni washusha mizigo[emoji90][emoji90][emoji90] balaa
 
Back
Top Bottom