Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

Zamani tukiwa wadogo tulikuwa tunaamini ukiweka majivu yaliyochanganywa na chumvi kwenye 'mzigo' wa mtu aliyeushusha pagalani, lazima 'uwemba' umuwashe hadi aombe msamaha
Ni kweli sasa? Au hiyo sayansi haijathibitishwa?
 
Pengine utafute dawa ya kienyeji ya kuzuia kunya atakayekunya hiyo dawa itamshughulikia na hatarudi kunya hapo tena maana wanaokunyaga humo ni walewale hiyo dawa inamvimbisha mishipa
 
Unajipa stress bure tu kwa kitu usichokiweza.

Unakoelekea utapata hasara zaidi kuliko hata hicho kinyesi kinachokauka ndani ya wiki tu.

Ukiweka grill za madirisha, ndio watang'oa kabisa wakauze.
 
Naweka hidden camera hao wakulungwa watajikuta xvideo huko kwenye category za ajabu
 
Kuna huduma nyingine pia huzitekeleza humo, hujakuta maganda ya condoms kweli? Kamwe huwezi kuwatangulia wakulungwa, lazima wakuwahi kukuzindulia nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana aisee
 
Back
Top Bottom