Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Maeneo ya usukumani wana dawa fulani wakizinyunyizia kwenye kinyesi hicho, basi yule aliyekiacha atasumbuka sana kule kwenye njia ya haja kubwa!Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?Iliniuzunisha sana wakuu,nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo..
Mkuu we acha tu. Yaani tabia inakera hiyo si mchezo. Ndiyo ninayopambana nayo hayo na mimi. Inasikitisha sana. Sijui nini cha kufanya kukomesha hii tabia.Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?Iliniuzunisha sana wakuu,nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo..
Ukiziba milango na madirisha wanabomoa mkuu.Jenga fensi au kama inashindikana Ziba milango na dirisha zote.
Tafuta hela mkuu ueke grill na madirisha la sivyo watalizindua hadi kwa mpalange ikawa nuksi tu๐Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?Iliniuzunisha sana wakuu,nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo..
Unaziba kwa kutumia niniUkiziba milango na madirisha wanabomoa mkuu.
Maeneo ya kaskazini, zinapatikana wapiMaeneo ya usukumani wana dawa fulani wakizinyunyizia kwenye kinyesi hicho, basi yule aliyekiacha atasumbuka sana kule kwenye njia ya haja kubwa!
Nimejaribu kuliwaza hili, kuna umuhimu wa kufanya hivyoLabda uweke chumba kimoja mlango na bati za kulaza afu muweke rasta mmoja akae tu mpe unga na mafuta sufuria akea tu! Kila wkend unaenda kumtembelea japo na mikate.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sijui huwa ni utamaduni au ni tabia tu iliyojengeka?Kuna huduma nyingine pia huzitekeleza humo,hujakuta maganda ya condoms kweli? Kamwe huwezi kuwatangulia wakulungwa,lazima wakuwahi kukuzindulia nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fanya hivo mkuu utachafuliwa nyumba yako, so be care.Nimejaribu kuliwaza hili,kuna umuhimu wa kufanya hivyo
Tatizo ina madirisha mengi, inabidi kujipanga kwa muda fulaniTafuta hela mkuu ueke grill na madirisha la sivyo watalizindua hadi kwa mpalange ikawa nuksi tu๐
Kata miti yenye miiba na uiweke milangoni.wanyaji huwa hawaruki madirishani wanapitia milangoniHii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?Iliniuzunisha sana wakuu,nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo..
Ni kukosa ustaarabu tu, ila bora mijini, vijijini nyumba nyingi hazina vyoo + wale watoto wanaochunga mifugo, ni kiboko ya mapagale, ni washusha mizigo[emoji90][emoji90][emoji90] balaaSijui huwa ni utamaduni au ni tabia tu iliyojengeka?
Wazo zuri mkuuKata miti yenye miiba na uiweke milangoni.wanyaji huwa hawaruki madirishani wanapitia milangoni
Oyaaaa๐๐๐Fanya hivo mkuu utachafuliwa nyumba na shahawa za kila namna afu kubwa kuliko watu wanafirana sana siku hizi so be care.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
๐๐๐๐Hakuna ya kuzuia maanake hata ukimpa maumivu zigo kashaliacha!Maeneo ya usukumani wana dawa fulani wakizinyunyizia kwenye kinyesi hicho, basi yule aliyekiacha atasumbuka sana kule kwenye njia ya haja kubwa!