Unatumia Pafyumu gani?

Mkuu hiyo naipata Kwa huko Dar? Huku niliko Sina uhakika kama nitaipata
 
Nenda Kwa Pablo, chukua mils 10 za aina tatu Kisha utakayoipenda ndio unakua unanunua.



Hapo 60 mils ilinitoka 500k
 
Chief kama una namba ya muuzaji wa hizi naomba msaada.
 
Tafuta bvlgari man in black ni nzuri hachoshi na haiboi,bei yake nikuanzia 200k adi 250k og inakuwa pamoja na deodorant yake.

Pia kama unapenda kunukia kitajiri tafuta Baccarat og, bei sio chini ya ya 600k ila tester unaweza pata kwa 150k
 
Nimeacha kutumia pafyumu almost miaka mitano sasa hivi. Harufu kuwa karibu na pua muda mrefu nilikua naona ni kero, since then natumia spray mara moja moja sana yaani spray moja naweza kumaliza nayo mpka miezi 6 haijaisha. Mara ya mwisho naachana na pafyumu around mwaka 2018-2019 nilikua natumia diable bleu kwa kipindi hicho ilikua inauzwa 15k tu sijui sasa hivi ni shilingi ngapi, kama sio mtu wa show-offs ipo fresh harufu yake kwenye nguo inadumu siku nzima
 
natumia stranger hii nilihongwa na dem alinunua elfu 50 makumbusho pale umeme iyo alafu nna UDV hii og yake ipo ila nilienda kwa copy ya buku 5 ila inakaa kimtindo body spray nilikuwa natumia nivea dry impact ila saiv hazipatikani sokoni kabisa.
Nivea kuna, dry comfort, active fresh, Pearl & Beauty, fresh natural e.t.c nazo umekosa...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…